kitengo cha meno
Posted on: March 28th, 20231. Upasuaji mdogo
2. Kusafisha nakushona majeraha
3. Kufanyiwa uchunguzi wa Afya ya kinywa na meno
4. Kusafisha vidonda kila siku5. kung'oa jino
6. Kung'oa jino lililoota vibaya(Impaction)
7. Kurudisha mfupa wataya uliokatika
8. Kuziba kwa muda
9. Kuziba moja kwa moja
10. Matibabu ya mzizi(root canal treatment )11.Kuweka jino la bandia
12.kurudisha taya bila dawa ya usingizi
13.Kuweka kofia ya jino (Jacket crown)
14.Kusahihisha mpangilio wa meno kwenye taya
15.Kusafisha ugaga kwenye meno
16.Kuondoa uvimbe uliojikusanya
17.Kuondoa uvimbe uliosambaa(Infection fascitis)
18.Kupiga picha ya mionzi(x-meno)
19.Kugandisha meno(sprinting)