INAELEZWA kuwa magonjwa yasiyokuwa ya kuambukiza ambayo ni pamoja na Shinikizo la damu, Saratani za aina zote, Kisukari, Figo, Mapafu na Magonjwa ya Moyo, yanatibika kwa kiwango kik... Read More
Habari
Na SRRH WATUMISHI wa Afya katika Hospitali ya Manispaa Shinyanga na Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Shinyanga wametakiwa kutoa huduma bora kwa wananchi ili kuridhisha jitihada za Seri... Read More
Na SRRH MADAKTARI, Wauguzi, Wakunga na Wafamasia Mkoani Shinyanga wameaswa kuzingatia Miiko na Maadili ya kazi katika utumishi wao Hospitalini ili kuboresha huduma za afya kwa ku... Read More
Na SRRH MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Christina Solomoni Mndeme, leo Oktoba 31, 2023 amefanya ziara iliyolenga kufanya Ukaguzi wa Huduma zinazotolewa na Vifaa Tiba katika Hospi... Read More
Na SRRH WANAWAKE Mkoani Shinyanga wameelezwa kukabiliwa na tatizo kubwa la ugumba kwa kukosa watoto, kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo utoaji wa mimba holela, matumizi ya daw... Read More
Na SRRH WAHUDUMU wanaohusika na shughuli za Ulinzi na Usafi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Shinyanga (SRRH) wameaswa kufuata kanuni na maadili ya kazi ikiwemo kutumia lugha nz... Read More
Na SRRH MGANGA Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Yudas Lucas Ndungile, na katibu Tawala Wilaya ya Kishapu, Bi. Fatma Mohamed, wamekula kiapo cha Ahadi ya Uadilifu kwa Vingozi wa Umma mb... Read More
Na SRRH WATAALAMU kutoka Wizara ya Afya pamoja na Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Salaam (DIT) wametoa mafunzo ya Tiba Mtandao (Telemedicine) kwa Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ... Read More
Na SRRH USHAURI umetolewa kwa Wazazi na Walezi kuhakikisha wanawalea watoto katika maadili mema ili kuepukana na tatizo la Afya ya Akili linalopekelea kutokea kwa matukio ya kuji... Read More
Na SRRH WAUGUZI katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Shinyanga (SRRH) wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia maadili na miiko ya kazi ikiwemo kuepukana na masuala ya rushwa ili kuto... Read More