Na SRRH WATAALAMU kutoka Wizara ya Afya pamoja na Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Salaam (DIT) wametoa mafunzo ya Tiba Mtandao (Telemedicine) kwa Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ... Read More
Habari
Na SRRH USHAURI umetolewa kwa Wazazi na Walezi kuhakikisha wanawalea watoto katika maadili mema ili kuepukana na tatizo la Afya ya Akili linalopekelea kutokea kwa matukio ya kuji... Read More
Na SRRH WAUGUZI katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Shinyanga (SRRH) wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia maadili na miiko ya kazi ikiwemo kuepukana na masuala ya rushwa ili kuto... Read More
Na SRRH WANANCHI wa Mkoa wa Shinyanga na maeneo jirani wametakiwa kuzingatia matumizi ya Lishe Bora ili kuepukana na Ugonjwa wa Kisukari ambao unaweza kuathiri karibu kila kiungo... Read More
Na SRRH KAMPUNI ya Anudha inayojihusisha na masuala ya Uingizaji na Usambazaji wa Vifaa Tiba nchini, Septemba 25, 2023 imetoa mafunzo ya matumizi ya Vifaa Tiba watumishi wa Hospi... Read More
Na SRRH TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Shinyanga, leo Septemba 20, 2023 imetoa elimu ya Rushwa mahala pa kazi kwa Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya ... Read More
Na SRRH WANAWAKE mkoani Shinyanga na mikoa jirani wametakiwa kuwa na desturi ya kupima Saratani ya Mlango wa Kizazi mara kwa mara, ili kuepukana na changamoto ya ugonjwa huo. ... Read More
Na SRRH OFISI ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga kupitia Wakufunzi wake imeendesha Mafunzo ya Mfumo mpya wa Manunuzi ya Umma (NeST) kwa Wataalamu wa Shinyanga RS na Hospitali ya Rufaa ... Read More
Na SRRH HOSPITALI ya Rufaa ya Mkoa Shinyanga (SRRH) kupitia mwendelezo wa Vipindi vya Elimu ya Afya (CME) imetoa elimu ya mawasiliano ya Lugha ya Alama kwa watumishi kwa lengo la kusaidia... Read More
Na SRRH ELIMU kuhusiana na huduma ya kipimo cha utambuzi wa Seli mundu (HB Electrophoresis Test) ikiwa na lengo la kuongeza uelewa na umuhimu wake kwa afya ya binadamu, imetolewa... Read More